Goma : Mwanabunge wa taifa Hubert Furuguta aahidi kupigana kuhusu amani ya nchi yake hadi mwisho

Akihojiwa na wandishi habari kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, mwanabunge wa taifa nchini DRC Hubert Furuguta anena kuja nyumbani ili kuishi shida pamoja na raia, wenyi kukumbwa na usalama mdogo.

 » Nakuja kubadili fikra na raia ili kuelewa mambo wazi. Nakuja pongeza raia na askari jeshi, wakibaki kuipenda nchi yao, wakibaki kwenyi msimamo, wakibaki shujaa. Siyo muda tena ya kuacha vita kwa wafanya siasa, kwa viongozi, kwa askari jeshi peke. Vita ni kwa sisi sote ndani ya jamii. Vita dhidi ya shambulizi, tukifwata historia nchini DRC, historia mashariki mwa nchi hiyo« , aeleza Hubert Furuguta.

Akijiswali kuhusu shambulizi walizo zipata mababu, na kwa nini kuendelea kushambuliwa tukibaki kimya.

 » Sasa nakuja kushiriki kwenyi mazungumzo, nikivaa bendera la taïfa ,alama ya mapendo na kijitowa ajili ya nchi yangu. Nikiomba wakongomani pia kuipenda nchi yao, kukinga udongo wao. Navaa pia bendera ya chama changu cha kisiasa, ni alama kwamba Prezidenti wangu wa chama anabaki mwaminifu, nami nitabaki mwaminifu, asisitiza Hubert Furuguta Mwanabunge wa taifa.

Akiongeza kwamba watu wengi huzani kwamba wakongomani wachukiya nchi yao, na ndio maana wawaonyesha zarau.

Muda umetimu kuonyesha kwamba tunaipenda DRC, nchi yetu. Anayependa mali yake, huikinga hadi kumwanga damu, anena Mwanabunge Furuguta mcaguliwa wa Goma. Akisema kutokubali ahadi zozote, matamshi yoyote mazuri yasiyo towa matunda. Nakuongeza kwamba ni muda sasa kwa viongozi kuacha ahadi zozote zisizofaa, wakiheshimu ahadi.

Juvénal Murhula.

Goma: La presse devra être au service du peuple congolais et non une caisse de résonance des gouvernants ( Dady Saleh)

Professeur Docteur Dady Saleh

Cher Président de la République, chers ministres et autres, laissez les journalistes libres, laissez les s’occuper de leur métier. Donnez leur dès moyens, des subventions, des facilités pour se procurer des matériels à moindre coût, une bonne qualité de connexion internet et autres. Ceci étant le devoir de l’Etat congolais, le peuple a besoin des médias qui présentent l’image de la nation comme il le faut.

C’est entr’autres recommandations formulées par le Professeur Docteur Dady Saleh, adressées à l’Etat congolais par rapport aux états généraux de la communication et médias. Activité qui s’est déroulée du 25 au 29 janvier 2022 à Kinshasa.

Cette élite intellectuelle du Nord Kivu invite les chevaliers de la plume et du micro à plus de professionalisme, même si certains ne sont plus à reprocher.

« Il faut des héros journalistes qui doivent faire sortir cette nation dans le chaos, qui n’acceptent pas des autorités morales, qui n’acceptent pas d’injonctions. Des héros journalistes qui ne font pas l’apologie des autorités qui ont ruiné le pays et mieux offrants. Je félicite ceux qui font plus, qui accordent des espaces même à ceux ne disposant pas des moyens » dit Dady Saleh.

Celui ci propose une communication Tujitegemee , une communication de proximité et non une même stratégie de communication que des médias internationaux.

« Nous ne devons pas avoir les mêmes strategies de la communication qu’aux États-Unis, apparemment on exige des mêmes strategies de communication comme si on était dans une même situation. La circonstance et l’intérêt du peuple congolais doivent se focalisent sur une communication intravertie et non extravertie », poursuit cet acteur politique.

A titre illustratif, » que gagne la maman de Masisi, de Walikale, de Rutshuru, le papa, le jeune pour une telle communication. Ils ont quels intérêts à part ceux des Nations unies, des Américains que nous relayons » insiste t il.

Cet acteur politique evoque également un défi d’ordre structurel de la communication qui ne favorise pas aux médias l’aspect Kujitegemea.

« Que la commission qui a travaillé sur la politique nationale de la communication et de réflexion sur la mise en place du Conseil National de la presse puisse suivre ce qui a été dit et aboutir à des résultats plus probants. Que la commission qui a également travaillé sur le texte puisse être souple pour favoriser la presse cette éclosion, cette auto prise en charge, cet aspect Kujitegemea de la presse, » explique t il, ajoutant qu’il en est de même pour une commission qui a travaillé pour la viabilité des médias.

« Sur ce point, il faut des médias viables, des professionnels médias capables de se prendre en charge, parce que les médias peuvent risquer si les professionnels ne sont pas bien rémunérés et disposés des outils plus performants. » martèle t il.

A lui de se demander si la société comprends réellement le rôle du journaliste et des médias en général dans la transformation de celle ci de manière positive. Enfin, Docteur Dady Saleh souhaite voir le Président de la République et les ministres des serviteurs du peuple que des dictateurs à travers les médias pour asseoir le développement et la démocratie en RDC. Il fustige le comportement de certaines autorités qui continuent à dilapider des sommes d’argent au détriment de la population.

Juvénal Murhula

Kivu ya kaskazini : Prezidenti wa wafanya biashara FEC wilayani Nyiragongo Boniface Banyanga aendelea kuomba vijana wa eneo hilo kuja haraka na miradi ili wapewe pesa za kazi

Prezidenti wa wafanya biashara wilayani Nyiragongo FEC

Prezidenti wa wafanya biashara wilayani Nyiragongo FEC kwa maarufu na kwa kimombo Boniface Banyanga aendelea kuomba vijana wa eneo hilo kuja haraka ili kufaidia pesa toka benki kuu duniani kwa kutekeleza miradi yao mbali mbali ili kuinua maendeleo ya wilaya yao miongoni mwa wilaya za jimbo la Kivu ya kaskazini.

Bwana Banyanga alinena hayo mbele ya waandishi habari alipokuwa akizungumza na vijana wamoja wa wilaya waliokubali mwaliko na kuleta miradi mbali mbali kunako ofisi yake ambao ni zaidi ya thelasini kwa sasa .

Huyu anena kwamba pesa hizo ni toka benki kuu duniani kwa Jamhuri ya kidemocrasia ya Kongo hadi jimbo la Kivu ya kaskazini ambamo vijana wa wilaya ya Nyiragongo walipata bahati ya kuchukuliwa miongoni mwa wote watafidia pesa hizo kwa bure nchini DRC.

Vijana wamoja wa Nyiragongo wanaweka miradi kwenyi meza

Prezidenti huyo wa FEC wilaya ya Nyiragongo asema ni mshangao kuona vijana wa eneo waitwa kila leo kupitia hata vyombo vya habari ila waendelea kusita sita ijapo mradi huo ni moja wapo ya mbinu zinachokuliwa na serkali ya DRC ili kutafuta suluhu kwa ukosefu wa kazi kwa vijana wasomi kama vile wale hawakuelimika.

Kwa hiyo anaomba vijana wengine kuharikisha kwa kuwa muda umetimu kwa kukomesha orodha yaani tarehe thelasini machi mwaka tunao, na kwa yule hakufika asije akaseme kwamba hakuambilia anena kiongozi huyu.

Tukumbushe kwamba ni siku mbili peke zabaki kabla ya kufikia mwisho wa orodha.

Juvénal Murhula

Goma : Kifo chake John Pombe Magufuli ni fundisho kwa wanasiasa na watafwiti nchini DRC( Dady Saleh)

Profesa Daktari Dady Saleh pia mfanya siasa jimboni Kivu ya kaskazini aomba wanasiasa nchini DRC kuwa n’a zamiri , upendo, huruma dhidi ya raia ambao waishi mateso miaka chungu tele kupitia uongozi mubaya wakiiga mfano wake Magufuli ambaye karibu dunia nzima yaendelea kutoa machozi kuhusu kifo chake fundisho kwa walio wengi.

Dady Saleh anena hayo akihojiwa na ripota wa la ronde info hii juma mosi tarehe 27 machi mwaka tunao mjini Goma, akitoa maoni yake kuhusu kifo cha raisi wa Tanzania John Pombe Magufuli ambaye hayuko tena.

 » Mujifunze kuwatendea watu mema, haiombe lolote kusikiliza mateso ya wengine, upendo na kuchukuliana yawe ndani mwenu. Magufuli hakuhitaji aitwe kiongozi mwenyi mamlaka yote, Mheshimiwa, Béton, Bishop na kadhalika. Kusudi apenye ndani ya mioyo ya watu ilimubidi kuishi mateso nawo pamoja na kutumika zaidi ili kuinua nchi. Alifundisha kupitia matendo siyo masemi. Alibaki ndani ya nchi na kutumikisha mali kwa manufaa ya raia , hakujali kuandaa safari hapa na pale  » aendelea kutamka Daktari Dady Saleh.

Aliongeza kwamba ijapo kila mtu mwana siasa kama mtu mwengine yule alitoa machozi kuhusu kifo cha raisi huyo wa Tanzania haitoshi. Inabidi kujiswali mwenyewe kwamba ninapotoweka leo , dunia itanikumbuka matendo gani niliyoitenda hapa chini ya jua.

Juvénal Murhula

Goma : Akina mama wenyi kujumwika ndani ya Muungano AJPC na katika chama cha kisiasa P3R wasema kuwa tayari kwenyi uongozi wa nchi na hata kuchaguwa viongozi wenyi kustahili

Akina mama wa AJPC pia wa chama cha kisiasa P3R wanakomesha siku kuu ulimwenguni ya haki ya mwanamke

Akina mama wanaojumwika ndani ya Muungano kwa jina la AJPC ambayo mwanzilishi ni Profesa Daktari Dady Saleh walikomesha hii juma mosi tarehe 27 machi siku kuu ulimwenguni ya mwanamke.

Walikuwa ma mia ya akina mama ambao walishukuru moja kwa moja juhudi zake Profesa Dady Saleh ambaye ana lengo la kusindikiza akina mama ili wasonge mbele katika ujenzi wa nchi.

Wengi miongoni mwao walishukuru kwa mafundisho waliopewa naye Profesa Dady Saleh kupitia mpango kujitegemea, wakinena kusonga mbele ndani ya kazi kadhaa kupitia misaada kidogo toka Dady Saleh yenyi samani ya dola tano za marekani.

Ilikuwa fursa kwa akina mama hawo kuchukuwa hatua ya kuinua mwanamke kupitia chama chao cha kisiasa Parti politique populaire pour la révolution P3 marufu, wakisisitiza kwamba mwanamke afike kunako ngazi za uongozi yaani raisi , bunge, waziri na kadhalika.

Kiongozi wa akina mama kwenyi AJPC anena kwamba wako tayari kwa uongozi wa nchi kupitia ujuzi na mafunzo Kadhaa wamepewa na Muungano AJPC na hakuna kizuwizi chochote kile , aliendelea kwamba muda wa kutega mikono kila leo kwa mume imepita .

Sherehe zaendelea

Kwake Profesa Dady Saleh, ijapo kuhitimisha siku kuu ulimwenguni ya mwanamke kwa akina mama wa AJPC , ni fursa kwao ili kutayarisha chama cha kisiasa kwa jina la Parti politique populaire pour la Révolution ambayo yapatikana kwa sasa ndani ya miji arubaini na tatu pamoja na senta kadhaa ila ni nafasi saba peke ndizo zimeandaa sherehe.

Profesa Dady Saleh asema kuwa kupitia mpango kujitegemea nchi yaweza kubadilika haraka , inabidi kushirikisha akina mama kunako mstari wa mbele kwani kazi anazozifanya na ataendelea zifanya akiwa madarakani.

Kwa kutafuta kujuwa kama mwanamke yuko tayari kuchaguwa viongozi wanaostahili na hata kuchukuwa madaraka , Dady Saleh alinena kwamba ni viongozi wenyi nia mbaya ndio wanena kuwa mwanamke hajakuwa tayari ili ya kumugandamiza wabaki madaraka.

Tufahamishe kwamba kazi zingine kupitia mpango kujitegemea zilifanyika mjini Béni ambako mauaji yafanyika kila leo .

Juvénal Murhula

Goma : Pour Nicaise Kibel bel Oka la solution est possible pour mettre hors d’état de nuire l État islamique sur le sol congolais si l’on se parle un même langage

L’éditeur du journal Les coulisses Info et expert sur la question des ADF en province du Nord Kivu demande à la notabilité de cette province , de parler un même langage au sujet de l’existence de l’ État islamique sur le sol congolais. Aux experts tant nationaux qu’internationaux de reconnaître les résultats de ses recherches quant à ce, l’honnêteté scientifique oblige.

Ce chevalier de la plume l’a dit au cours d’une interview accordée a la ronde info ce lundi 15 mars 2021.

Voulant savoir si des alertes qu’il lançait bien avant par rapport à la présence des milices dans le territoire de Béni rencontrent les résultats des enquêtes faites par un groupe d’étude qualifiant les ADF de l’Etat islamique sur le sol congolais, cet expert l’a confirmé en plaçant un mot:

 » D’emblée je dirai oui mais je ne peux pas le dire sans pour autant placer un mot. Vous l’avez souligné, nous avons lancé des alertes , ça fait plus de dix ans que les ADF est une fausse nomination. Ils s’appellent MTN et que les ADF n’existent pas. ADF signifie Alliance des Forces Démocratiques . Nous avons fait la sonnette d’alarme , les gens se sont moqués de nous et nous traiter de tous les maux, notamment les experts blancs de Nations unies et autres. Ils nous ont vilipandés et voilà ils nous rejoignent. Le fait de nous rejoindre est une bonne chose pour comprendre ce qui se passe à Béni » souligné t il .

Monsieur Nicaise poursuit que de tous les rapports qui sont sortis personne n’a osé citer son nom, l’honnêteté scientifique oblige.

 » Oui je suis content , je ne suis pas satisfait parceque ces gens sont sur notre trace sans nous citer et ne nous disent pas pourquoi ils n’ont pas cru » s’étonne t il .

Il dit ne pas reconnaître la complicité des officiers FARDC dans ces opérations.

 » Est ce que vous avez vu Jihadiste travaillé avec un non musulman? D’abord le Jihadiste n’est pas un musulman ordinaire. Il utilise le Coran et le kalachnikov . S ‘ils ne peuvent pas travailler avec les autres musulmans , comment peuvent ils travailler avec un officier FARDC qui est catholique, protestant , kimbanguiste et autres. » Martele t il .

Ce chevalier de la plume pense que l État islamique se trouva en RDC est une conquête d’une manière ou d’une autre faisant allusion à cette guerre de conquête et idéologique qui se passe à Béni .

Pour juguler tout cela, demande à tout le monde de parler un même langage sur l’identité de l’ennemi.

 » Moi ,depuis des années, je vous dis que ceux qui tuent là bas sont des Jihadistes et qu’il s’agit d’une guerre asymétrique sans la population on ne peut pas la gagner » indiqué t il et de conclure que si tout le monde était d’accord de ses recherches , le gouvernement congolais pourrait capitaliser la reconnaissance des services de département américain et demander aux Américains d’aider l’armée congolaise par l’équipement militaire, la formation spéciale et autres.

Juvénal Murhula

Waziri mkuu wa zamani Matata Ponyo aalika vijana kwa uwakilishi wa kweli na uongozi bora

Akizungumza na bunge la vijana jimboni Kivu ya kaskazini na vijana wengine kwa jumla waziri mkuu wa zamani Matata Ponyo aliomba vijana jimboni Kivu ya kaskazini kutimiza ndoto wakiwa wakili wa kweli na kuwa na uongozi bora ili ya maendeleo ya jimbo kwa upekee na nchi nzima.

Huyu alifasiria vijana kwamba hakutakuwepo na maendeleo ingawa vijana hawa wataendelea kungojea misaada hapa n’a pâle pasipo kutekeleza elimu wanayo.

Profesa Matata Ponyo alihakikisha kutopoteza samani kwa pesa alipokuwa kwenyi madaraka na hiyo ni kwamba hakukuwa na badiliko kila leo kwenyi serkali kama ilivyo sasa.

Waziri mkuu wa zamani aliendelea kunena kwamba hakuna nchi iliumbwa tajiri ama maskini ila inabidi kutumia elimu tuliopewa na Mungu ili kufikia lengo

Baadae alijibu kwa maswala ya vijana akiwaomba kupiga hatua ili kufikia maendeleo ya kudumu n’a kujuwa kwamba katika uongozi kuna miba yabidi kufanya hatua

Tufahamishe kwamba kazi zilihitimishwa hii juma nne tarehe 16 machi 2021 mjini Goma.

Juvénal Murhula

Mwanabunge Jean Baptiste KASEKWA anapanga kuzungumza na raia kuhusu hali ya kisiasa nchini DRC

Akiwasili kunako uwanja wa ndege mjini Goma , mwanabunge Jean Baptiste KASEKWA mcanguliwa wa Goma anena kwamba yuko likizoni ili kuzungumza na raia kuhusu namna viongozi wa nchi wanaongoza, kazi walizozifanya kama watetezi wa raia, nini iliofaulu na nini haikufaulu na ni sababu gani , serkali inayoundwa hapa karibuni itafalia nini kwa raia. Mwanabunge huyu asema pia kuchukuwa maoni ya raia ambayo atapeleka bungeni .

Kuhusu usalama mdogo ambao unaendelea kukwamisha maendeleo jimboni Kivu ya kaskazini, mcanguliwa huyu anena kwamba kiongozi yeyote yule yaani raisi , waziri mkuu. mawaziri kwa jumla na wengine wote ambao hawatajihusisha na usalama ni adui wa nchi na kuomba raia kusimama ili kushurtisha haki yao.

Jean Baptiste Kasekwa aligusia mfano wa vijana hapa na pâle mashariki mwa DRC walio ondoka porini ili kuingia jeshini kwa kutaka kujenga amani ambao wameachiliwa na serkali ijapo utashi wao mwema

Kwake mwanabunge Jean Baptiste Kasekwa, inabidi serkali kutoa kiwango cha pesa ili kutafuta suluhu kuhusu usalama mdogo mashariki mwa DRC kwani watu waendelea kuuliwa katika miji mbali mbali mashariki mwa DRC yaani Lubumbashi, Bunia, Goma, Béni, Bukavu na kadhalika.

Tufahamishe kwamba Jean Baptiste Kasekwa atazungumza na raia mjini Goma hii ijumaa tarehe 5 machi 2021.

Juvénal Murhula

Concevoir un site comme celui-ci avec WordPress.com
Commencer