Goma : Mwanabunge wa taifa Hubert Furuguta aahidi kupigana kuhusu amani ya nchi yake hadi mwisho

Akihojiwa na wandishi habari kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, mwanabunge wa taifa nchini DRC Hubert Furuguta anena kuja nyumbani ili kuishi shida pamoja na raia, wenyi kukumbwa na usalama mdogo.  » Nakuja kubadili fikra na raia ili kuelewa mambo wazi. Nakuja pongeza raia na askari jeshi, wakibaki kuipenda nchi yao, wakibaki kwenyi msimamo, wakibakiLire la suite « Goma : Mwanabunge wa taifa Hubert Furuguta aahidi kupigana kuhusu amani ya nchi yake hadi mwisho »

Goma: La presse devra être au service du peuple congolais et non une caisse de résonance des gouvernants ( Dady Saleh)

Cher Président de la République, chers ministres et autres, laissez les journalistes libres, laissez les s’occuper de leur métier. Donnez leur dès moyens, des subventions, des facilités pour se procurer des matériels à moindre coût, une bonne qualité de connexion internet et autres. Ceci étant le devoir de l’Etat congolais, le peuple a besoin desLire la suite « Goma: La presse devra être au service du peuple congolais et non une caisse de résonance des gouvernants ( Dady Saleh) »

Kivu ya kaskazini : Prezidenti wa wafanya biashara FEC wilayani Nyiragongo Boniface Banyanga aendelea kuomba vijana wa eneo hilo kuja haraka na miradi ili wapewe pesa za kazi

Prezidenti wa wafanya biashara wilayani Nyiragongo FEC kwa maarufu na kwa kimombo Boniface Banyanga aendelea kuomba vijana wa eneo hilo kuja haraka ili kufaidia pesa toka benki kuu duniani kwa kutekeleza miradi yao mbali mbali ili kuinua maendeleo ya wilaya yao miongoni mwa wilaya za jimbo la Kivu ya kaskazini. Bwana Banyanga alinena hayo mbeleLire la suite « Kivu ya kaskazini : Prezidenti wa wafanya biashara FEC wilayani Nyiragongo Boniface Banyanga aendelea kuomba vijana wa eneo hilo kuja haraka na miradi ili wapewe pesa za kazi »

Goma : Kifo chake John Pombe Magufuli ni fundisho kwa wanasiasa na watafwiti nchini DRC( Dady Saleh)

Profesa Daktari Dady Saleh pia mfanya siasa jimboni Kivu ya kaskazini aomba wanasiasa nchini DRC kuwa n’a zamiri , upendo, huruma dhidi ya raia ambao waishi mateso miaka chungu tele kupitia uongozi mubaya wakiiga mfano wake Magufuli ambaye karibu dunia nzima yaendelea kutoa machozi kuhusu kifo chake fundisho kwa walio wengi. Dady Saleh anena hayoLire la suite « Goma : Kifo chake John Pombe Magufuli ni fundisho kwa wanasiasa na watafwiti nchini DRC( Dady Saleh) »

Goma : Akina mama wenyi kujumwika ndani ya Muungano AJPC na katika chama cha kisiasa P3R wasema kuwa tayari kwenyi uongozi wa nchi na hata kuchaguwa viongozi wenyi kustahili

Akina mama wanaojumwika ndani ya Muungano kwa jina la AJPC ambayo mwanzilishi ni Profesa Daktari Dady Saleh walikomesha hii juma mosi tarehe 27 machi siku kuu ulimwenguni ya mwanamke. Walikuwa ma mia ya akina mama ambao walishukuru moja kwa moja juhudi zake Profesa Dady Saleh ambaye ana lengo la kusindikiza akina mama ili wasonge mbeleLire la suite « Goma : Akina mama wenyi kujumwika ndani ya Muungano AJPC na katika chama cha kisiasa P3R wasema kuwa tayari kwenyi uongozi wa nchi na hata kuchaguwa viongozi wenyi kustahili »

Goma : Pour Nicaise Kibel bel Oka la solution est possible pour mettre hors d’état de nuire l État islamique sur le sol congolais si l’on se parle un même langage

L’éditeur du journal Les coulisses Info et expert sur la question des ADF en province du Nord Kivu demande à la notabilité de cette province , de parler un même langage au sujet de l’existence de l’ État islamique sur le sol congolais. Aux experts tant nationaux qu’internationaux de reconnaître les résultats de ses recherchesLire la suite « Goma : Pour Nicaise Kibel bel Oka la solution est possible pour mettre hors d’état de nuire l État islamique sur le sol congolais si l’on se parle un même langage »

Waziri mkuu wa zamani Matata Ponyo aalika vijana kwa uwakilishi wa kweli na uongozi bora

Akizungumza na bunge la vijana jimboni Kivu ya kaskazini na vijana wengine kwa jumla waziri mkuu wa zamani Matata Ponyo aliomba vijana jimboni Kivu ya kaskazini kutimiza ndoto wakiwa wakili wa kweli na kuwa na uongozi bora ili ya maendeleo ya jimbo kwa upekee na nchi nzima. Huyu alifasiria vijana kwamba hakutakuwepo na maendeleo ingawaLire la suite « Waziri mkuu wa zamani Matata Ponyo aalika vijana kwa uwakilishi wa kweli na uongozi bora »

Mwanabunge Jean Baptiste KASEKWA anapanga kuzungumza na raia kuhusu hali ya kisiasa nchini DRC

Akiwasili kunako uwanja wa ndege mjini Goma , mwanabunge Jean Baptiste KASEKWA mcanguliwa wa Goma anena kwamba yuko likizoni ili kuzungumza na raia kuhusu namna viongozi wa nchi wanaongoza, kazi walizozifanya kama watetezi wa raia, nini iliofaulu na nini haikufaulu na ni sababu gani , serkali inayoundwa hapa karibuni itafalia nini kwa raia. Mwanabunge huyuLire la suite « Mwanabunge Jean Baptiste KASEKWA anapanga kuzungumza na raia kuhusu hali ya kisiasa nchini DRC »

Concevoir un site comme celui-ci avec WordPress.com
Commencer